Utafiti!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mvaa Tai, Feb 24, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Utafiti wa Kisayansi unaonyesha. [/FONT]
  [FONT=&quot]1. 1. [/FONT][FONT=&quot]Asilimia 70 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa kusoma kiswahiri.[/FONT]

  [FONT=&quot]2. 2. [/FONT][FONT=&quot]Asilimia 90 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa kusoma kiingereza cha awali.[/FONT]

  [FONT=&quot]3. 3. [/FONT][FONT=&quot]Asilimia 80 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa hesabu za msingi kama kuzidisha na kutoa.[/FONT]

  [FONT=&quot]Ikumbukwe pia wahanga wa hiyo hali wengi ni wapiga kula walio vijijini ambao hawajui ghalama ya kuuza kura kwa T-shirt na kofia zitokanazo na kodi yao wenyewe.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Watanzania tufanye nini ili kuepukana na hii hali?[/FONT]
  [FONT=&quot]
  SOURCE: http://www.uwezo.net/uploads/files/Uwezo%20Key%20Findings%20Sept%2016.pdf
  [/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
   
 2. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Eti eeh?
   
 3. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda tuijadili credibility ya Watafiti kwanza
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  eti eeeh,una shangaa!!ungempatia usahihi wake.
   
Loading...