Nimewakumbuka Washirika wa Geita Sec. !987 - 1990 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimewakumbuka Washirika wa Geita Sec. !987 - 1990

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Job K, Feb 13, 2011.

 1. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 2,794
  Trophy Points: 280
  Jamani mko wapi ndugu zangu tuliokuwa pamoja pale Geita Sec. enzi za Mkuu Sosthenes Ngussa na kufuatiwa na Ndugu Shima (Nimemsahau jina lake la Kwanza). Je! Mnamkumbuka Mwl. Kikome? Tujuliane hali wakuu!!!
   
 2. D

  Datus Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tupo:A S thumbs_down:
   
 3. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tupo kwani vipi?
   
 4. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 2,794
  Trophy Points: 280
  Acha kuuliza swali la kizushi hilo wewe! Kwani kujuliana hali ni vibaya ndugu yangu? Sema kama ulisoma Geseco miaka hiyo!
   
Loading...