Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi walimu tunaelewa haki zetu au hatuelelewi? Maana walimu tuko kimya sana. Na hawa jamaa zetu wa cwt hawaeleweki! Sijui kama wenzangu mnawaelewa!. Hivi mshahara wa mwalimu aliyemaliza digree...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Members wa JF wenye ndugu na Marafiki wanaosoma CBE Dodoma... Wataadharisheni wanachuo wasomao hapo kuwa FFU wapo tayari in FULL GEAR wakijiaandaa ku-attack... nawasilisha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam Great Thinkers, Graduate wa IT level ya Degree. Nimeshafanya kazi kwa miaka 4 sasa kwenye field ya IT. Nataka kuongeza Elimu (Masters Level). Sababu. 1. Nimeona nina interest na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie sylabus ya a-level katika combinatin ya HKL
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Erest Khamis (45), anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushiriki kumuua baba yake mzazi wakimtuhumu kuzuia mvua kunyesha mkoani humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda nimekuwa nasoma majadiliano yanayohusu umuhimu wa elimu katika maisha ya jamii hasa ya Tanzania. Wengi wamechangia midahalo kama hiyo japokuwa kila kitu kinageuzwa kuwa ni swala la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari nilizozipata, huko Dodoma, wanafunzi wa Bachelor wote wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Hii si uongo hapa muhusika kapatia
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wana jf natafuta kitabu cha kikristo kinachoitwa neema yangu yatosha kilichoandikwa na Ghulam Masih Naaman,mwanzo alikiandika kwa kingereza halafu kikatafsiriwa kwa kiswahili,ni cha mwaka 1997,pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku izi ukitaka kujiunga na elimu ya juu, vyeti vyako vinatakiwa vikakaguliwe mahakamani kama ni feki au original. Yaani unampelekea hakimu ambeye awekaa kwenye dawati, hana database wala komputa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf natamani sana kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 wanatoa lini na kwa njia ipi tafadhali mwenye data atujuze
0 Reactions
1 Replies
11K Views
THE LONG-AWAITED KIFUNGILO REUNION IS HERE!!!!! Dear ladies, Kifungilo Alumnae, Can you believe it's been so long? But the memories are still as fresh as ever… We all acknowledge...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Le wanafunzi wa BACHELOR mwaka wa kwanza wa pili na wa tatu wameshindwa kuanza mitihani ya kumaliza semister baadaya walimu kugoma kwa sababu wanadai mishahara pamoja na marupuru yao ya miezi mitatu
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JAMANI KUNA NAFASI ZA MASOMO HAPA NI NYINGI INAKUA NGUMU KUZIANDIKA ZOTE INA KWA NCHI ZINAZOENDELEA TANZANIA NI MOJA WAPO NYINGI NI MASTERS JARIBU KUONA NINATUMAINI KUNA MTU ZITAMSAIDIA SIO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimekua nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, na pia niwewahi kuwauliza watu mbali mbali wanaonizunguka ninapoishi, wengine husema udaktari, wengine engineering, law, ualimu n.k... Je wewe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro Makamu mkuu...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kama kuna mtu yeyote ambaye ameona tangazo la mwaka huu 2011 kutoka wizara ya elimu na mafunzo kutangaza nafasi za wanaotaka kujiunga na masomo ya ualimu katika ualimu ngazi ya cheti katika vyuo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wanafunzi wa darasa la pili na tatu wa shule ya Msingi Magwalasi katika Kata ya Rujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya wakiwa darasani wakiendelea na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…