Tangazo la nafasi za kusoma ualimu ngazi ya cheti

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Kama kuna mtu yeyote ambaye ameona tangazo la mwaka huu 2011 kutoka wizara ya elimu na mafunzo kutangaza nafasi za wanaotaka kujiunga na masomo ya ualimu katika ualimu ngazi ya cheti katika vyuo mbali mbali vya ualimu naomba atufahamishe ili tuweze kutuma maombi.
 
Matangazo ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti ni kweli hutangazwa na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, hasa baada ya uchaguzi wa wanafunzi wanaoenda kidato cha tano. Matangazo hayo tegemea mwezi huu wa tatu mwisho mwezi wa nne. Uliza vyuoni hasa kupitia mimi maana nipo chuo cha ualimu ngazi ya cheti namba yangu ni 0712614244. Thanks
 
Acha kufikiria kazi ya ualimu HAINA MVUTO

JF imeingiliwa, unataka kuwa, wapo viongoz wako wengi tu wa kisiasa ambao walikuwa walimu na wanakuibia rasilimali za nchi pamoja na hy kaz yako yenye mvuto. Stop descouraging others!
 
Back
Top Bottom