Usanii Elimu ya juu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usanii Elimu ya juu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KakaJambazi, Mar 8, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,942
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Siku izi ukitaka kujiunga na elimu ya juu, vyeti vyako vinatakiwa vikakaguliwe mahakamani kama ni feki au original. Yaani unampelekea hakimu ambeye awekaa kwenye dawati, hana database wala komputa ya kuzugia mbele yake. Bora hata angekua na divice ya kutoa mionzi ya kuwulikia vyeti. Kupiga cmu kuulizia chuo au shule husika hapiki, matokeo yake naombwa buku teni ili agonge vimuhuri kwenye coppy za vyeti. Huu usanii na ulaji Tanzania utaisha lini?Hawa mahakimu wanautaalamu gan na walisomea wapi mambo ya ukaguzi wa vyeti?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,547
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Nilidhani njia sahihi zaidi ni kwa vyuo vyenyewe kucheki na database ya baraza la mitihani!
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,474
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  badala ya kusonga mbele tunarudi rivasi.
   
Loading...