Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu
Habari zenu wana jf!kuna suala flan hua lnantatza sana,huku mtaan kwetu huwa kuna tetes znaseme kwamba hapa tanzania chuo chenye ubora kuliko vyote ni udsm kikifuatiwa na sua,muhimbili na ardhi bt...
Prof. Ben Hamel
Dir. of Postgraduate
hamelogier@gmail.com
Studies, KCM College
Prof. Frank. W. Mosha
KCM College
fwmosha@gmail.com
Prof. Raimos Olomi
KCM Centre
raimosolomi@yahoo.com...
Taifa hata siku moja halitaweza kuwa na maendeleo kama wanawake watakuwa ni sehemu ya jamii ambayo haina elimu. Nasema hivyo kwa sababu wanawake ndio wanafanya sehemu kubwa ya malezi ya watoto na...
WanaJF, naomba nianze kwa kuwapongeza UDOMASA wa UDOM kwa kazi nzuri sana waliyoifanya. Kwanza, wamesababisha mapinduzi pale UDOM. "Wameupindua" uongozi wa kiuonezi, kibabe wa the top three...
Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa...
Habari hii ni ya ushindi wa malengo ya elimu, au huzuni kwa wanazuoni?
Habari jamvini!
Mimi nimeisoma hii kwenye mwananchi jana, na nimesikitika sana. Nini maana yake, tuna shule nyingi za A...
Jamani baada ya majina ya wanafunzi kutangazwa kujiunga na kitato cha 5,nimekuwa nikifatilia taarifa mbalimbali za shule zetu huko nyumbani TZ, lakini cha kushangaza yaani huwezi kukuta shule ina...
Teaching is an education in Tanzania
As a teacher in a large UK comprehensive, I was starting to fall out of love with my profession. I needed a challenge and an adventure. The list of...
Natumai wana jf wote ni wazima. Kuna kitu naomba nieleweshwe, nimekua nikisikia baadhi ya wanafunzi wa kitanzania wakienda china kusoma masters programmes mbalimbali zinazofundishwa kwa lugha ya...
Nimeona kwenye baadni ya magazeti ya leo tume inaomba wananchi na wadau wa elimu ya juu kwa ujumla kuchangia mawazo ya namna ya kuboresha utoaji wa mikopo wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu...
Hivi wana JF tuulizana hivyi vyuo vikuu vetu kama UDSM, UDOM, MZUMBE na vingine vyote vinaendelea katika utafiti au katika kuboronga? Kwani mwisho wake havitakuwa na maana. Je nini kifanyike...
:panda::panda::panda:Jamani, nilibahatika kuwa external examiner wa chuo kimoja cha biashara (CBE), hapa TZ hivi karibuni. Wakati napitia baadhi ya paper za wanachuo, nilishangaa sana kwa kweli...
Came across the following information wide and thought it may be of use.
1 Harvard University U.S.
2 Massachusetts Institute of Technology U.S.
3 University of Cambridge UK
4 University of...
kama kawa. wamemaliza mitihani. wamefulia. hawana bumu. sasa wanawindwa. wapewe pesa kidg. watumike kwenye maadamanaio haram. wengi wao wamekwama hawana naul wapo tu kwenye magorofa ya chuo.
Hebu fikiria matokeo ya form four ya mwaka jana, kwa trend hii kwa miaka 5 au zaidi Tz itakuwa taifa la wajinga zaidi ili mafisadi akina RA waendelee kutawala-hii ni mbinu tu za hawa jamaa-make...
Ni jambo la kutia huruma kwa jinsi walimu wanaosimamia na kusahihisha mitihani ya f2 wanavyo zalilishwa. Kwanza malipo kwa karatasi ni 200/ tu. Afu tenda ya kusahihisha hufanyika kwa moja ya shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.