Naomben mnisaidie kuhusu combinations

tumain ernest

Member
Feb 24, 2011
26
8
Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
 
we darasa la ngapi? sheria , uandishi wa habari, ualimu,na kadha wa kadha
 
Back
Top Bottom