Mgomo waripuka cbe@ chuo cha biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo waripuka cbe@ chuo cha biashara

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzee Wa Rubisi, Mar 7, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Le wanafunzi wa BACHELOR mwaka wa kwanza wa pili na wa tatu wameshindwa kuanza mitihani ya kumaliza semister baadaya walimu kugoma kwa sababu wanadai mishahara pamoja na marupuru yao ya miezi mitatu
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Cbe ya wapi? dom au Dar? au zote?
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  CBE Dar es salaam
   
 4. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Inasemekana wa wanfunzi kuanza mugomo kupinga kuairishwa mitihani
   
 5. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwanza natamani sana CBE Dar kingefutwa kabisa, kinatoa shahadi zilizo chini ya kiwango kabisa. Visistadu pale chuoni havisomo ni kubana mwili na kutembea nusu uchu, wakati wa mitihani wanalobi ili waipate. Utakua mtu ana "A" zaidi ya 80% kwenye vyeti ila ukimpiga interview ni mtupu sana.

  Ukienda kupmba chuo kwaajili ya masomo zaidi wakiona ni CBE wanasema hebu weka pembeni kwanza. Ukiomba kazi kama ni CBE inawekwa pembeni. Kwa hiyo hiki chuo ukichunguza kwa undani unaweza kuta hata wenye zero ya form four wanasoma mle ndani. Kipigwe chini kabisa
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ni kiwango gani cha elimu inatolewa pale ni janga la kitaifa,yanayofanyika cbe yanafanyika na kwingine , Hutafuta vingapi sasa
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mm mkubwa, hapana, ni kweli vyuo vingi vina matatizo kama ya CBE ila CBE ni zaidi ya uozo, kwa ufupi pale hakuna shule hata 5% ? kuanzia waalimu wao hadi wanafunzi, Sijui ni mamlaka gani ndio inawajibika kwa chuo hiki.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  wazee wa kuponda vyuo washaanza.
   
 9. M

  Matarese JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wewe wasema
   
 10. 2my

  2my JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wanaponda vibaya hadi wanaharibu
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiki chuo nadhani kinasimamiwa na NACTE chini ya wizara ya viwanda na biashara. Hilo la mishahara inawezekana likawa halina ukweli. Labda malimbikizo yanayotokana na nyongeza.
  Kuwa chini ya kiwango, halipingiki. Wengi wa wanafunzi wa pale wanapata shida kupata ajira. Ukweli chuo aidha kifutwe, au kimezwe na taasisi nyingine (kipotezewe kabisa) au ni major overhaul kuanzia kwa management, waalimu na wanafunzi.
   
Loading...