Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 yanatoka lini?

Bizzly

Member
May 3, 2010
79
21
wana jf natamani sana kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 wanatoa lini na kwa njia ipi

tafadhali mwenye data atujuze
 
Kwa sasa hayatolewa, ila mara nyingi yakitolewa huwekwa kwenye website ya wizara ya elimu www.moe.go.tz Hivyo tembelea hiyo website mara kwa mara
 
Back
Top Bottom