Chuo kikuu cha bagamoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kikuu cha bagamoyo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by howard, Mar 4, 2011.

 1. howard

  howard Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC
  Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro
  Makamu mkuu wa chuo : Prof. COSTA MAHALU
  nAIBU MAKAMU MKUU : PROF. SENGONDO MVUNGI
  NA WENGINEO
  Ni chuo cha uongozi Tanzania na maswala ya kiingereza pia yatafundishwa kwa umakini mkubwa wanadai.
  Wanasema Africa hakuna viongozi na wao wanataka kufundisha viongozi wa ukweli,pia wanataka wanafunzi wao wawe competitive kwenye soko la ajira africa na duniani kwa ujumla.
  Nawakilisha rasmi.
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hivi ndo umejua leo??? Pole sana. na ofisi yao ipo Mikocheni palepale zilipo ofisi za OXFORD. Karibu sana ukajionee.
   
Loading...