Madarasa mawili wasomea chumba kimoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madarasa mawili wasomea chumba kimoja

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EMT, Mar 6, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wanafunzi wa darasa la pili na tatu wa shule ya Msingi Magwalasi katika Kata ya Rujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya wakiwa darasani wakiendelea na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa shule hapo imewalazimu chumba kimoja kutumiwa na wanafunzi wa madarasa mawili kwa kila darasa kugeukia upande wake kama walivyokutwa na mpiga picha jana.


  Soma zaidi: Madarasa mawili wasomea chumba kimoja
   
Loading...