Msaada kwa wataalamu wa sage pastel evolution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa wataalamu wa sage pastel evolution

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Parachichi, Apr 5, 2011.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele!mimi ninatumia sage pastel accounting package!ninafanya reconcilliation kati ya Subsidiary account na General ledger Account!sasa GL balance ipo juu than subsidiary!it means that kuna manual posting zimefanyika kwenye GL!Nimejaribu ku trace naona kichwa kinauma bila mafanikio!kwa mtaalamu wa pastel naomba msaada jamani!hii itawasaidia na wengine ambao ni wahasibu wana tatizo kama la kwangu.

  Nawasilisha.
   
Loading...