show me gender gap ktk science subjects-secondary schools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

show me gender gap ktk science subjects-secondary schools

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kenie, Feb 7, 2011.

 1. K

  Kenie New Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nan anpatie current data namba ya boys na girls wanaochukua science subject kwa secondary za tz
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ..Nina hakika taarifa ya aina hiyo haijawahi kukusanywa. Mara ya mwisho kulikuwa na majedwali yaliyoletwa na Wizara ili kukusanyataarifa zitakazopelekea kufahamu hali ya ufundishaji wa masomo ya sayansi kwenye a) idadi ya waalimu, b) kiwango chao cha elimu, c) aina ya facilities zilizopo (maabara, etc.), d) vitabu vya kiada na ziada

  ..Kama unafanya project au research yenye ku-cover ukubwa huo (nchi nzima) ningekushauri ufikirie tena na kuchukua eneo dogo zaidi kijiografia ile iwe rahisi kukusanya hizo taarifa, angalau shule chache katika wilaya fulani na utumie taarifa hizo kutoa picha general ya nchi nzima (a sample)
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba mnifahamishe:pROBLEMS FACED IN HYPOTHESIS FORMULATION.
   
Loading...