Huyu naye katumwa na nani kuchakachua haki za wanavyuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu naye katumwa na nani kuchakachua haki za wanavyuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by lifeofmshaba, Apr 6, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Serikali izuie midahalo ya siasa shuleni, vyuoni'

  TAASISI ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA) imeishauri Serikali kupiga marufuku midahalo inayochangia kukosekana nidhamu na kusababisha uvunjifu wa amani shuleni na vyuoni.

  Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Thomas Ngawaiya aliliambia gazeti hili ofisini kwake kwamba vipo baadhi ya vyama vya siasa vimekuwa vikiingiza siasa mashuleni, hali inayosababisha wanafunzi kuchanganya mambo mawili kwa wakati mmoja na kuchangia kiwango cha elimu kushika.

  Alisema midahalo ya siasa ambayo imekuwa ikifanyika vyuoni, demokrasia imekuwa ikitumika vibaya kutokana baadhi ya wachangiaji mada na wasikilizaji kutoa kauli zisizostahili kwa viongozi wa nchi.

  "Wanafunzi wengi wamekuwa wakichanganywa na siasa ambayo imekuwa ikiingizwa mashuleni na baadhi ya vyama, mwanafunzi anatakiwa apate elimu na shule sio sehemu ya siasa, hali hii imechangia hata kiwango cha ufaulishaji kushuka," alisema Ngawaiya.

  Ngawaiya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, alisema pia demokrasia imekuwa ikitumika vibaya, jambo alilodai kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikitumia fursa hiyo kuhakikisha nchi zenye amani zinaingia katika machafuko.

  Kauli ya Ngawaiya ililenga kongamano la kujadili katiba lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) wiki iliyopita kujadili Katiba ambapo alisema baadhi ya wachangiaji walitumia vibaya demokrasia.

  source habari leo


  MY TAKE:huyo thomas ngawayi kalipwa kiasi gani kusema uongo wa wazi namna hii? nani kamwambie elimu ya juu inashushwa na siasa kama sio upungufu wa walimu na na vifaa vya mafunzo kwa vitendo? kwanza hakuna takwimu kwamba elimu ya juu imeshuka nadhani anaongelea shule za kata? na hao wamewai kushiriki midahalo kweli? au ni shule na kata za jk? thomas kama unamuogopa kikwete au wamekutuma basi unaishushia hadhi hiyo taasisi yanu nadhani wakufukuze kazi huna fikra, au kwa sababu ccm walizomewa wanataka midahalo ifanyike manzese
   
 2. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwan ccm kuna wasomi?
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa ni kwamba Ngawaiya kitaaluma hata darasa la saba hakumaliza.
  Hivyo alivyosema ni sawa kulingana na upeo wake wa kufikiri.
   
 4. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yaleyale ya mama S. Simba na nchi za magharibi! Atakapoombwa atoe ushahidi atasema sijasema! Kuna wakati alishaomba ujumbe wa NEC CCM kwa ahadi ya kumwondoa Ndesamburo na kuiangamiza CDM mkoa wa kilimanjaro!
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi ni chama gani kinacho peleka siasa mashuleni na vyuoni zaidi kama sio ccm?
  Tuanze na chipukizi wa ccm,hawa ni watoto wa primary,...kiongozi wao ni mtoto wa kikwete.
  ...
  Huyu kichaa tu,amekosa la kuongea na watakufa wengi sana kwa presha
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,972
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  Sijaona source ya hii habari! taja gazeti gani limenukuu akisema uliyoandika ndo uchangiaji uwe makini kwani ulichoandika kina mashiko na kinajadilika
   
 7. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni mwananchi mkuu nilipotoka hapo
   
 8. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  samahani habari leo
   
 9. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa mkuu
   
 10. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Kama ni kweli amesema atuambie kama mwanae Joachim aliharibiwa na siasa gani katika chuo gani? Akiendelea tutamwaga data hapa. Ebo! Tumechoshwa na uropokaji sasa
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamani tumsamehe huyu jamaa..

  1. Hajui mchango wa vyuo na taasisi za elimu
  2. Sidhani kama ni mtu wa level ya kuwakosoa wasomi...sisi tutamsikiliza mtu kama Prof Baregu,Dr Lweitama nk
  3. Anatafuta pakutokea baada ya kupotezwa kwenye siasa na CCM...
   
 12. B

  Blessing JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ni tahira kabisa. Vyo ViKuu na ma shule ndie yenyewe. Wasomi wenzetu songeni mbele na mpikanie haki zetu na zenu zote. Kama CCM were good leaders we would not have been where we are today. CCM have messed up na wakubali mabadiliko. Asie kubali kushindwa sio mshindani. CCM = CHAMA CHA MAOCHAFU.
   
 13. 2

  250689 Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani antafuta pa kutokea coz hanajipya so ameona bora aropokwe ili watu wajue kama yupo..anatia hata huruma...ooh poor ngawaiya ...!!
   
 14. B

  Blessing JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kweli huyo nae Mama Simba ni Mayai kabisa. Yale yale tunapeana ma Sweet Malaya wa zamani. Uso kama mikati pua kama keneza Ooooh ana mume kweli ? Sidani kama mwanaume mwenye macho mazuri can take such a woman as a wife. She is UGLY extremely UGLY
   
 15. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  asante mkuu sikujua kiwango chake cha shule hapo sasa nimeelewa anajaribu kusukuma train la mizigo peke yake
   
 16. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Poor ngawaiya. Wakati tunaanza kuona mchango wa wasomi ktk jamii yeye anapiga tu domo. Hajui kwamba Hakuna nchi iliyoendelea bila wasomi.
   
Loading...