Naombeni kujua chanzo cha siku ya leo kuitwa siku ya wajinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni kujua chanzo cha siku ya leo kuitwa siku ya wajinga

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtumishi Mkuu, Apr 1, 2011.

 1. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi fools' day inayosherehekewa leo maana yake haswa nini? Ila kikubwa zaidi inasherehekewa na watu gani? Mara nyingi huwa sikukuu yoyote inasherehekewa kitaifa ktk mkoa mojawapo ikaimbatana na mgeni rasmi, ningependa kujua kwa mwaka huu sikukuu hii inasherehekewa wapi kitaifa na mgeni rasmi ni nan?????? Asanteni
   
 2. M

  Mkare JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry, I have no comment kwenye hilo... Labda kwenye avatar yako...lol
   
 3. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Avator yangu imefanyaje jamani? Kama inakwaza niitoe..........
   
 4. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
 5. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimesoma mkuu, asante
   
Loading...