mkopo kwa post-graduate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo kwa post-graduate!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gracious86, Apr 2, 2011.

 1. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hellow wadau! Hivi et mtu akitaka kusoma masterz anaweza kuomba mkopo kwa HELSB? Inanichanganya sana akili! Na kama ni ndio, je, ni qualifications gani hasa wanazoangalia kutoa mkopo kwa postgraduate? Au wanatazama G.P.A ya bachelor?.plz help....
   
 2. m

  mtwevejoe Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani watu wanaopewa mkopo ni wale ambao wanafundisha vyuoni,kama sijakosea
   
 3. m

  mbenye Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni wote ila uwe umelipa deni la bachelor mdau
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ni kwa wale walioajiriwa serikalini tu!
   
 5. markach

  markach Senior Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi nanavyofahamu ni kwa wale wanaofundisha vyuoni. Yaani ma TA ili wawe malecturer
   
 6. R

  Renegade JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  Mkopo ni kwa Watu wa vyuoni. Masters mpaka PHD Wanatoa.
   
Loading...