Media: Chuo cha media nje ya nchi msaada wakuu

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Nataka kwenda kuongeza buku la media production BA (Hons)! Walio naujuzi mnielekeze process nzima! nimepata shule 1 inatoa BA ya media production kwa mwaka 1. sasa ada ndio mauti EURO 9,100 eti wakuu nitafanyeje!?? Then kuna UCAS wao wanadai kuapply kwenye hiyo shule mpaka nilipe EURO 15 eti nilpaje sasa??
Natanguliza shukruani
 
Mkuu ni busara pia kuweka bayana kuwa bajeti yako ikoje ili wadau wanapokuwa wanakupa vyuo wawe pia wanazingatia hilo. Kwa kuwa EURO 9100 ni nyingi hatutaweza kujua wewe umejiandaaje na unataka kusoma nchi gani na bara gani. Naomba niwakilishe hilo mkuu
 
Asante mkuu! chuo kipo UK, na mimi mkuu sina hata shillingi tano!yaani nategemea 100% funding
 
Back
Top Bottom