Zito aishtaki udom bungeni

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Chuo kikuu dodoma ni miongoni mwa mashirika ya umma ambayo hayajawasilisha report zake kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma. Je kuna nini kimejificha kwa taasisi nyeti kama hii kushindwa kutoa ushirikiano.

Haya yamesemwa na mwenyekiti wa kamati hiyo mh. Zito na ameomba zichukuliwe hatua kali dhidi yao
 
Pale ndio wamekaa wezi wenyewe.....kuna jamaa anaitwa Prof Shabani Mlacha ni noma kwa kuchakachua mali ya umma...
 
Nilitegemea kwamba chuo kikuu ni sehemu ambayo ni ya kuigwa kwa kila jambo.Kama vyuo vikuu vyetu vimekuwa sehemu ya wizi wa mali ya umma tutaiga mambo mazuri kutoka wapi? Tafadhali vyuo vikuu uew role models!
 
Inawezekana kwakua namchukia Zito, tatizo akiambiwa watu wachukue hatua ananywea. . . . .
 
Back
Top Bottom