G. Lema akutana na wana Udom kutoka Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

G. Lema akutana na wana Udom kutoka Arusha.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SOKON 1, Apr 6, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa Arusha G Lema leo jioni amekutana na wana udom wote wanaotoka Arusha. Nakuzungumza nao mambo mengi muhimu ya maendeleo ambayo msomi anatakiwa kuyafanya kutoa mchango ktk suala la katiba pia msomi hatakiwi kunyamaza pindi taifa linapoenda mrama kwani wasomi ndio wanaojua mambo mengi kulinganisha na wale ambao hawajapata fursa ya kusoma.

  Baada ya hapo akashiriki chakula cha jioni pamoja nao na kuwajulia hali wanafunzi wote ambao aliwakuta cafteria wakila mda huo.

  G Lema tupo pamoja ktk kuendeleza taifa lete
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  aliwalipia hela ya chakula?
   
 3. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Dah kwa hilo halitawezekana kwani hawakushindwa kulipa hela ya chakula wenyewe mpaka Mh G Lema alipe.
  Pia walikuwa wanafunzi wengi
   
 4. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana yake. Uongozi ni kuonyesha njia
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  jamaa keshanijibu hapa down
   
 6. utemi

  utemi Senior Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Keep it up Mh. Lema
   
 7. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hivi huo muswada ndo unapitishwa kesho ama? Sababu kunahabari wanaharakati wamejiandaa kesho bungeni kwenda kuupinga.
   
Loading...