Mabango ya chadema udom kulindwa kwa ulinzi mkali baada ya wana-ccm kuanza kubandua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabango ya chadema udom kulindwa kwa ulinzi mkali baada ya wana-ccm kuanza kubandua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by King junior, Apr 8, 2011.

 1. King junior

  King junior Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika ni kuwa, mabango ya matangazo kuhusiana na uzinduzi wa ofisi ya CDM utakaofanyika ng'ong'ona nje kidogo ya Chuo cha Elimu karibu na bati la kijani, kuanzia saa tatu asubuhi kesho, yameanza kubanduliwa na wana-CCM,baada ya wana-CCM kutangaza dau kuwa atakaewapelea bango la tangazo moja,atajipatia elfu 5000/- cash, wana CDM walivyogundua hilo, wakaamua kuimarisha ulinzi ili kuwezesha habari hiyo kuwafikia wanachama wengi zaidi wa CDM, inavyoonesha walinzi hawa wanaweza kukaa hadi usiku sana kuhakikisha usalama wa matangazo hayo.
   
 2. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora iwe hivyo kwani hawa kijani ni noma!!!
   
 3. King junior

  King junior Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sana Kaka, kiukweli kijani wanafanya vitu kwa kujificha sana huku, kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha wana-CDM wa UDOM nje ya chuo kama tulivyojiwekea utaratibu wetu, tukapata ujumbe eti unadai unatoka kituo cha polis kuwa tusitishe mara moja kikao kile, wana-CDM, tulikuwa na msimamo, tukaendelea, lakini hakukuwa na polis wowote, kumbe zilikuwa hila za wana-CCM wa Udom tu, leo wameamua kubandua matangazo, lakini kwa jinsi ulinzi ulivyo, hawataweza ng'o.....!
   
Loading...