Wanajukwa salamu!
Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae.
Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora...
Habari wakuu
I attended university upto the last academic year but due to some unforeseen circumstances I dropped out. I want to go back and redo the last year and that means financing myself so...
Habari zenu waungwana,
Husika Na kichwa cha habari hapo juu naomba kujuzwa kama kuna shule yoyote ya secondary O/A level inayotoa mafunzo online,binafsi nilimaliza form 4mwaka 1999 ila nilipata D...
Salaam wakuu....
Naombeni kuwauliza swali baada ya profesa ndalichako kufuta gpa je inaweza mfumo wa division kutumika kwa form four ya mwaka 2015 ambao wameshafanya mtihani
habari zenu wakuu!mimi n mtanzania niliepata ufadhili wa kwenda kusoma iran program DOCTOR OF MEDICINE,kwa mnavoijua iran mngenishauri nende au niikache mana cna idea yyote about iran in case of...
Uongozi wa CHUO KIKUU CHA ARUSHA kilichopo chini ya Kanisa la WAADVENTISTA WASABATO umeonyesha nia ya kutaka kuwapokea wanafunzi waliosimamishwa masomo kwa sababu za Kiimani na CHUO KIKUU CHA...
ninaomba tuelimishane maana penye wengi hapakosi neno au jambo au maarifa!!
hivi hii elimu bure imelipiwa kila kitu??? maana kuna tetesi kuwa hatutakiwi hata changisha wanafunzi wa kidato cha nne...
Naombeni kufahamishwa nani anakagua mitaala na mitihani ya vyuo vikuu especially engineering. Nimeamua kuuliza hivi kwasababu vimekuwepo vyuo vingi vinavyotoa engineering courses lakin wamekuwa na...
Sera ya elimu pamoja na mambo mengine ya kuendesha tasnia nzima ya elimu, leo mimi najikita zaidi katika kuangazia nguvu kazi, na hususani waalimu.
Nimejaribu kumwangalia huyu mtu anaeitwa...
Sera ya elimu tz imeruhusu kufundisha watoto wetu toka primary school hadi university kwa kutumia lugha mbili, yaani ukiamua mtoto aanze kiswahili basi atatumia kiswahili kama medium of...
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEMI ama Wizarani (MOEVT)?
Na naomba muongozo kwa njia ya barua ni vipi naweza kuandika kuiomba hiyo nafasi na ni...
Kumekuwa na madai mengi sana kwa watu wengi sana kuhusu ubora wa elimu kati ya Tanzania na Uganda kwamba elimu ya Uganda iko chini kuliko ya Tanzania na wengine wakidai vice versa. Nchi zote zina...
Kwa nini walimu walio masomoni na wanastahili kupanda daraja hawapandishwi?.
Je hii ni haki?.
Kwa Halimashauri zingine nchini pia wanafanya hivo au ni kwetu tu?.
Wadau naomba msaada.
Kwa nini walimu walio masomoni na wanastahili kupanda daraja hawapandishwi?.
Je hii ni haki?.
Kwa Halimashauri zingine nchini pia wanafanya hivo au ni kwetu tu?.
Wadau naomba msaada.
habari zenu wakuu!mimi n mtanzania niliepata ufadhili wa kwenda kusoma iran program DOCTOR OF MEDICINE,kwa mnavoijua iran mngenishauri nende au niikache mana cna idea yyote about iran in case of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.