Msaada wa mawazo na ushauri

biarakeyz

Senior Member
Jan 19, 2016
183
47
habari zenu wakuu!mimi n mtanzania niliepata ufadhili wa kwenda kusoma iran program DOCTOR OF MEDICINE,kwa mnavoijua iran mngenishauri nende au niikache mana cna idea yyote about iran in case of their education
 
kwamba nisiende nendelee kusoma tanzania Evelyn,mana kwasasa nipo chuo nasoma,nasoma engineering lkn my expected program ilkuwa n medicine,ndoio nmekuwa sponsored kwenda iran kuisoma
 
Take chance wewe,Iran unayoisikia ni hii ya kwenye media ndio usiende?! Hiyo nafasi umepewa au? Nenda usome
 
Take chance wewe,Iran unayoisikia ni hii ya kwenye media ndio usiende?! Hiyo nafasi umepewa au? Nenda usome
ndio nafac nmepewa yummie juc as a scholarship na apa walikuwa wamenpa wiki 6 kwajl ya visa ambayo inabd nkaiichukue kwenye ubarozi wao dar es salaam
 
Usihofu mkuu, nenda ukatafte maisha hakuna shida kabisa huko isitoshe unaenda kwautaratibu rasimi unao kuhakikishia usalama nenda ndugu .
 
kwaiyo aita leta shida kaka angu,sababu naenda kwa utaratibu rasmi kwamba usalama wangu utakua juu yao,napia cko peke angu ndo nmefadhiliwa kuna wa2 km 8 mbali namimi kutoka mataifa ya bara la asia baazi
Usihofu mkuu, nenda ukatafte maisha hakuna shida kabisa huko isitoshe unaenda kwautaratibu rasimi unao kuhakikishia usalama nenda ndugu .
 
Back
Top Bottom