Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nahitaji kusoma bachelor of public health nchini kenya. Naomba ushauri katika mambo yafuatayo; 1. Vyuo vizuri vinavyotoa kozi hiyo. 2. Gharama na Jinsi ya kujiunga kwa Foreigner. 3. Mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Waliopangiwa Geita, wilaya ya Bukombe, au mtu yeyote yule anayeifahamu vizuri hiyo wilaya aniisaidie Kutokana na walimu wengi wapya kuuliza mazingira na taarifa za msingi za mahali...
0 Reactions
577 Replies
68K Views
Ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa la elimu lakini nimekuwa msomaji wa masuala mbalimbali ya elimu kama yanavyowasilishwa jukwaani. Wanabodi mimi nimehamasika kwa kipindi kuwa msomaji wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wanajukwaa....haswa kwa wale wenye uelewa na account....nombeni kufafanuliwa zaidi kuhusu materiality concept....mchango wenu tafadhali
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Niko nasoma diploma na nimemaliza semister ya kwanza, pia nilianzia cheti. Naomba mnisaidie, lengo langu ni kugraduet BSC OF AGRIBUSINESS na mwaka juzi kunajamaa yangu aliacha dip akiwa semister...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna shemeji yenu mmoja anasoma chuo kimoja cha serikali hapa Zanzibar, anasema moja kati ya sheria za chuo ni kwamba mwanafunzi haruhusiwi kuonekana na past papers za aina yeyote ile na endapo...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habar ya wakati wanajukwaa, Naomba kuuliza nichukue course gani degree ili nije kuwa auditor? Kwa kweli napenda kufanya kazi hii ila sijajua ni masomo gani haswa nisome ili nifikishe malengo...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
kwa graduates waliojiandikisha kufanya mitihani ya certificate na professional level review zinaanza leo, kituo ni E school of banking & microfinance ... kipo shule ya sekondari kisutu posta...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wana jamii habari zenu wakuu? Naombeni msaada kujulishwa hili kwa anaefahamu. Nna ndugu yangu wa kike alifeli la saba. Sasa tunamtafutia shule ya sekondari ya kujiunga pale Iringa mjini. Je ni...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habar wadau.naomba kujua vitabu vya kufundishia na vya "literature" mnavyotumia mashuleni kwenu..maana huu utandawazi wa vitabu unachanganya sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi Naomba kwa mtu mwenye uelewa mzuri sana wa jinsi ya kuandaa PROJECT PLAN anisaidie.nikipata hints inatakiwa iwe na vitu gani na vitu gani na katika kila hivyo vitu...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Wadau tufahamishane kama barua za KIBALI kama zimefika wilayani kwenu.
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Kuna maneno kuhusiana na elimu yananisumbua kidogo kujua maana yake. Shahada, astashahada, shahada ya uzamili,shahada ya uzamivu na mengine yanayofanana na hayo. Kwa anayejua maana yake atuwekee.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimegoogle na kupata hizi, je hizi ndo gharama pekee? UNDERGRADUATE PROGRAMMES 1 Application fees 30 USD 2. Fee per examination 20USD 3. Quality assurance fee (annually) 20 USD 3. Student...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Unakumbuka kipindi kile cha English form 2 "B"...?? TECHNOLOGY BRINGS MORE HARM THAN GOOD.....prepare a motion to OPPOSE or PROPOSE.....!!!! i miss those days.. Kwani ww ulikuwa upande upi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
sisi wanafunzi wa kitanzania tunaosoma vyuo vikuu mbali mbali hapa ujerumani masomo ya Shahada ya Uzamivu kwa ufadhili wa wizara ya elimu, tunadhalilika kutokana na mfadhili (wizara ya elimu, TZ)...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Anaejua mana ya GPA msada plz!
0 Reactions
16 Replies
21K Views
kutokana na ucheleweshwaji wa mikopo ya elimu ya juu ktk vyuo mbalimbali nchini hatimaye magufuri wamewanyoshea kidole wahusika na kuwataka kushugulikia mara moja ili kuondokana na malalamiko kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
upndishwaji wa madaraja kwa walimu sasa ni speed % sambamba na sera ya hapa kazi tu.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Nahtaj kusoma masters ya education lkn nataka nishughulikie sponsership. Nisaidie namna ya kufanyikisha sponsership.
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Back
Top Bottom