KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Kwa nini walimu walio masomoni na wanastahili kupanda daraja hawapandishwi?.
Je hii ni haki?.
Kwa Halimashauri zingine nchini pia wanafanya hivo au ni kwetu tu?.
Wadau naomba msaada.
Je hii ni haki?.
Kwa Halimashauri zingine nchini pia wanafanya hivo au ni kwetu tu?.
Wadau naomba msaada.