Swali kuhusu mfumo mpya wa kupanga division

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Salaam wakuu....
Naombeni kuwauliza swali baada ya profesa ndalichako kufuta gpa je inaweza mfumo wa division kutumika kwa form four ya mwaka 2015 ambao wameshafanya mtihani
 
Fatilia historia ya mitihani yote ya taifa waliofanya wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2015 yote wamebebwa so hata huu mwendo wa GPA
 
Back
Top Bottom