Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari Zenu Waungwana! Naomba Kama Mna Ushauri Au Pendekezo, Katika Kufanikisha Hili... Mnaweza Niongeza Ufaham!! Ahsanteni Sana..!! Niko DAR ES SALAAM
0 Reactions
24 Replies
11K Views
kwa jina naitwa juliano norman(24),ni mkazi wa mtwara,mimi ni wa kwanza katika familia ya watoto watatu,kwa ujumla mimi na ndugu zangu ni yatima wa kufiwa na wazazi wote,kutokana na matokeo mabaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa? Mwenzenu nina swali ambalo sielewi... Mwaka jana nimeomba NACTE kujiunga na course ya Diploma katika health Science (Medical laboratory technology). Nilichaguliwa chuo fulani...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kusoma kwa kutumia mitaala ya kigeni je tunaboresha elimu na tunajiongezea ujuzi zaid au je unadumaza elimu yetu tz?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
MWALIMU wa shule ya msingi Ikombolinga, Peter Emma, ameeleza masikitiko yake ya kudhalilishwa na Ofisa Elimu wa shule za msingi, Mohammed Msongo, wilaya Chamwino mkoani Dodoma kwa kumzaba makofi...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Naomba kujua ni Vitabu gan vizuri vya kufundishia na vya mwanafunzi vya somo la civics kuanzia kidato cha 1-4 visiwe vya Oxford tahadhari.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa ni Mwl wa s/msingi ana credit pass za O'level za kumruhusu kufanya mtihani wa Advance ana division three point 23 ya mwaka 2009 matokeo yake yako hivi B/maths C..chem C..kisw C..Eng...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salam sana wanajanvi, Awali hatuna budi kupongeza jitihada za serikali katika kuvalia njuga suala la elimu yetu. Hongera sana. Binafsi nina swali kwa wadau wa elimu, Je wanafunzi kusoma bure...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam sana wanajanvi, Awali hatuna budi kupongeza jitihada za serikali katika kuvalia njuga suala la elimu yetu. Hongera sana. Binafsi nina swali kwa wadau wa elimu, Je wanafunzi kusoma bure...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Breaking News!! Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Ni mtoto wa jiran yangu anachukua haya Masomo yenu ya science form 6 ana mdogo wake mdogo ambaye ni kiziwi/bubu. Sasa yeye ana ndoto za kuja kuwasaidia Watoto ambao wana ukiziwi kama mdogo wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF(Jamvi) website ya India Commission for Universities ni ipi ? au kwa anayejua chuo kilichopo India na Kutoa Faculty ya Doctor of Medicine anisaidie website ya chuo. msaada tafadhali
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Kwa mwenye kufahamu, ninaomba mnitajie shule za Chekechea na za msingi zilizopo Arumeru na hata Arusha mjini zinazomilikiwa na taasisi za...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada tafadhali, kama una documents au chanzo(source) chenye habari kuhusu historia ya usafiri wa nchi kavu TANZANIA haswa kwa upande wa mabasi yaendayo mikoani. <br />Naomba unipatie au pm...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Naomba kujua yafuatayo.. 1. Kwa waliomaliza kulipa mikopo ya elimu ya juu, kuna document yoyote inayotolewa kwa aliyemaliza kuonyesha kwamba amemaliza drni..?? 2. Kama ipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kwa ambaye anaweza nipa muongozo wa kutafuta scholarship ya MA kusoma IFM. Ahsanteni
1 Reactions
0 Replies
898 Views
Wana jamvi huwa najiuliza sana kwa nini vyuo vikuu vyote vya serikali vinaongozwa na makam mkuu wa chuo ya van vice chancellor na uyo mkuu wa chuo yani chancellor kazi zake ni zipi Mfano UDSM...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
wanajukwaa naomba msaada kwa anaefaham kituo kwa masomo ya advance 'PCM' isiwe mbali sana na Magomeni Mapipa masomo ya advance kwa mwaka mmoja pls
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba ushauri, Kwani toka 2011 sijapata kazi, nilisoma uhasibu na bado nko mtaani cjapata kazi. Nahtaji nkipangwa ualimu nije nibadili fani ili nirudi uhasibu na hilo ni baada ya kupata CPA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je...
0 Reactions
23 Replies
66K Views
Back
Top Bottom