singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Na wanaume wanaowapa wanafunzi mimba?
wakamshitaki dokta kwa kuua mtotoNa wanaume wanaowapa wanafunzi mimba?
Tatizo ni hao wanaopokea hizo mimba, viherehere vinawaponza. Haiweekani upewe kitu ukipokee kisha alaumiwe aliyekupaNa wanaume wanaowapa wanafunzi mimba?
Wanaopewa mimba ni wanafunzi wengine ni vitoto vya form one wataachaje kulaumu waliowapa?Tatizo ni hao wanaopokea hizo mimba, viherehere vinawaponza. Haiweekani upewe kitu ukipokee kisha alaumiwe aliyekupa
Hili linapaswa kutungiwa sheria ama kuwekewa miongozi nyoofu....
Kuna madaktari wanaotoa mimba baada ya huko mitaani kuharibu ...sasa hawa ni lazima sheria iwalinde.......
Hata watolewaji mimba ni lazima waadhibiwe pia...
Vidonge vya misoprostol viondolewe madukani na vibakie kuwa prescription only medicine tuachane na mawazo haramu ya taasisi ya marie stopes.