mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 620
Habari zenu waungwana,
Husika Na kichwa cha habari hapo juu naomba kujuzwa kama kuna shule yoyote ya secondary O/A level inayotoa mafunzo online,binafsi nilimaliza form 4mwaka 1999 ila nilipata D masomo karibu yote,kwa Sasa nadhani syllabus zimebadilika sijui kama kuna uwezekano wa kurisiti Ili nipate hizo c 3 Ili niweze kwenda A level.
Tatizo langu Ni kwamba siishi Tanzania ndio maana naomba msaada wa kuambiwa nini cha kufanya Ili nitimize ndoto zangu.
Natanguliza shukrani zangu.