No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,007
- 12,390
Naombeni kufahamishwa nani anakagua mitaala na mitihani ya vyuo vikuu especially engineering. Nimeamua kuuliza hivi kwasababu vimekuwepo vyuo vingi vinavyotoa engineering courses lakin wamekuwa na mitaala mibovu ambayo inawafanya ma engineer wetu wasiwe wabunifu na wasiweze kushindana sokoni.
Mfano kuna vyuo vinatoa computer engineering lakini wanafunzi wake mwaka wa tatu hawajui ata kutengeneza straight through ethernet cable...seriously?
mwingne wa electronics engineering same year kashindwa ata kusoma uwezo wa capacitor??? haaah
Ombi langu;
1: wanafunzi wa engineering wataftiwe field kama ilivyo madoctor wakafanyie field taaluma zao na sio kutumia tu pesa za loan bila kutoa jasho
2: Mitaala ya elimu ya vyuo vyote iwe upgraded kila mwaka kwa course zote ili iendane na ukuaji wa technolojia...naomba apa waweke mtaala mmoja kwa wote, sio kama ilivyo sasa kila chuo kinajifundishia.
3: Wanafunz wapige project mbili..mini project mwaka wa tatu na final project mwaka wa nne.