VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
ninaomba tuelimishane maana penye wengi hapakosi neno au jambo au maarifa!!
hivi hii elimu bure imelipiwa kila kitu??? maana kuna tetesi kuwa hatutakiwi hata changisha wanafunzi wa kidato cha nne hela ya mahafali yao?? maana nimejaribu kumuuliza mkuu wangu kanambia naye hajui lolote!!? je inamaana shule za serikali kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne hawatofanya mahafali???
natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa watakaochangia mada...asanteni sana....karibuni