University dropout

golden ratio

Member
Dec 25, 2015
85
38
Habari wakuu
I attended university upto the last academic year but due to some unforeseen circumstances I dropped out. I want to go back and redo the last year and that means financing myself so I have to look for emoloyment. I need advice on what employment can one get as a university drop out ?
 
Serikali zetu zibadilishe mfumo wa kuangalia vyeti badala yake waangalie uzoefu kwa maana ya uwezo wa mtu binafsi wa kufanya mambo,sawa na nafasi a nayoiomba kuitendea kazi.
Je naweza kuajiriwa kwenye nafasi zinazohitaji graduates ??
 
Uli disco sio?? Kazi ngumu rudi tena shule kachukue cheti
 
Uli disco sio?? Kazi ngumu rudi tena shule kachukue cheti
Yeah nilikuwa under scholarship ila muda wake umetimia kwa sasa NIKIRUDI chuoni expenses zote juu yangu ndio maana nauliza Ni sehemu gani naweza ajiriwa as a university drop out
 
Tusiilaumu serikali kwa kila kitu. Sasa mnataka muajiriwe bila uthibitisho wa kile ulicho nacho.
Kwanza kua na cheti, kisho ndio uonyeshe uwezo kivitendo, ili uajiriwe.
 
Kwani Wewe unataka cheti au Elimu,kama Ni Elimu hiyo uliyopata inatosha,

Ni muda sasa wa kutumia Elimu yako ili ikunufaishe,fikilia kujiajiri na kuajiri watu wengine pia,sababu dhana ya kusoma siyo kuajiliwa
 
Back
Top Bottom