mwenye taarifa na chuo hiki kipya anijuze, kinaanza lini kupokea wanafunzi, kwani mwaka jana kilitangaza nafasi za wafanyakazi, ninaham sana kufungua chuo,kwani ninaamini nitaelimika sawasawa kwa...
habari wana jf...hope mko poa...mm ni mwanafunz nliemalza masomo ya diploma ya umeme katika chuo cha must...kwa bahati mbaya gpa yngu haikua nzuri..ilikua ni 2.5.... na inavosemekana ili uweze...
Kwa utafiti nilioufanya ni kuwa sababu mojawapo ya kufeli kwa wanafunzi shule za sekondari ni Lugha ya kufundishia yaani kingereza. Nyingine ni malipo duni kwa waalimu,mazingira magumu ya...
JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa...
Huu uzi ni special kwa wanafunzi wa A Level wanaochukua Economics katika combination zao (HGE,ECA&EGM). Kama una swali uliza mimi kama mwalimu nitakusaidia na walimu wenzangu wapo hapa kwa ajili...
Ndugu zangu mimi nimekamilisha vibali vyote vya uhamisho lakini cha ajabu sioni jina langu, kama kuna mwenye tatzo kama hili tusaidiane jinsi ya kufanya chap chap.
Ndugu wadau: Najua humu ndani kuna watu tofauti wanachuo,watumishi na hata wanafunz...mm nizungumzie hii idara ya UALIMU licha ya kudharaulika kwa mishahara duni na mazingira mabovu ya kazi dharau...
Samahani wadau za jiono naomba kuuliza kwa wale form6 private candidate je tayar wameshafanya usahihi wa taarifa?!pia vipi tayar washajaza form za kuchagua vyuo??
Nahitaji kuuliza, mwaka jana 2015 nilifanya application ya kujiunga na masomo Tanzania Institute of Accountancy kwa Postgraduate Deploma in Procurement and Logistics Management kwa masomo ya...
lengo la Uzi huu natamani kujua malipo ya walimu wenzetu hususani majirani zetu maana kabla hujadai mshahara mkubwa ni vema kujua mwenzako analipwaje najua kuna wakenya , waganda na warwanda wengi...
Shule ina wanafunzi 200 lakini ina mwalimu mmoja tu,shule ya msingi ruino wilayani mbinga,jamani watanzania wenzangu hiyo ndiyo elimu bora au bora elimu ya tanzania?
Kwanza nianze kumpongeza Mh; John Joseph Pombe Magufuli kwa kuanza vyema katika uongozi wake huku ndani ya mwezi mmoja akifanikisha kuandika record ya ukusanyaji wa mapato kufikia Tilion 1.4...
Wakubwa naomba mnifafanulie kuhusu hili;
Mtu mwenye degree ya uuguzi akihitaji kujiendeleza baadae anaweza kuchukua masters ya udaktari au inakuaje? Natanguliza shukurani.
Wana jukwaa, kuna tofauti gani kati ya watoto wanaoanza shule wengine wakijua kusoma na kuandika huku wengine hawajui kusoma wala kuandika??
[emoji637] [emoji638] [emoji639] [emoji640] [emoji641]...
Wanajukwa salamu!
Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae.
Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.