Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa jumla ya Tshs 459/- bilioni kama mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi 122,486 wanasoma katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi...
Wahasibu naombeni msaada wenu na mawazo yenu kuhusu hili swali la public sector accounting
email :kijanicity15@gmail.com
Required: Identify any accounting issues of interest and explain how the...
Wakuu hii kitu inaniuma sana kuna lecturer wa economic IFM ana mfelisha mke wangu kisa anang'ang'ania avuliwe chupi. Ivi kwann hawa jamaa wanakua chanzo cha kuwaharibia maisha watu?. Naomba...
"Okonkowo`s end was not only that of obstinate hero running his head against a machine to big for him,it was the end of a way of life". Discuss this statement in relation to Achebe`s Things Fall...
Tunatoa huduma za ushauri juu ya uandishi wa research pamoja na data analysis... pia tunatoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi na jinsi yanavyo athiri shughuri za...
Tupe Maoni Yako ( Matusi Hapana )
Serikali yatumia bilioni 459 kwenye mikopo
ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo
2015/2016.
Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha
wanafunzi wa elimu ya juu katika...
The 2016 Yale Young African Scholars application is now available! Apply now >>
Deadline to apply is 31 March, 2016 at 11:59 EST
(Before you begin your application, view the sample application >>)...
Mlitoa tangazo kwamba mnatoa muda wa siku tano kwamba kuanzia tarehe 11 mpaka tarehe 15 wanafunz wote ambao hawajakamilisha usajiri wawe wamefanya hivyo.
muitikio ulikuwa mkubwa idadi kubwa ya...
WANAVYUO Bhaaaana!!!
Jana Nilienda Kumtembelea Rafiki Yangu Pale IFM nikajikuta nakuwa na siku ya Furaha hasa nilipozisikia story zile zile za wanachuo kumbe story za WANAVYUO karibu wote ni zile...
Ndugu wanajamvi ninamasikitiko makubwa Mimi nilichaguliwa kwingine mkopo wangu ukaenda chuo kingine inaniuma sisi Mimi tu hili tatizo nilawanafunzi wengi wa mwaka wa kwanza .Kikubwa...
Habari za asubuh waungwana natumain ni wazima.
Shida yangu ni kupata shule mzuri kwa ajili ya mdogo wangu(kike) iwe private ambayo itakuwa na elimu mzuri ikiwa ya Girls na ipo mikoani itakuwa...
WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL - KIBAHA
WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016...
Habari wana jf
kama kuna mtu anasoma chuo kikuu huria,,Bachelor of arts in public administration au aliwahi kuisoma,,nahitaji course outline ya Government and politics in Africa OPs 122,,Social...
Mwanafunzi ajifungua katikati ya mitihani
*Apumzika siku moja na kurejea darasani
Na Patrick Mabula, Shinyanga
MWANAFUNZI wa Sekondari ya Mhongoro wilayani hapa, amejifungua huku...
Sitaki tuzo kanyaboya ya mlevi bora
Na Nkwazi Mhango, canada
16th January 2016
B-pepe
Chapa
Kuna kijigazeti cha kitapeli kiitwacho Afro Jua Times kilitaka kuniingiza mjini na kunitumia kikidhani...
Chuo cha Edewn Hills College,kilichopo KIBAHA mkoani Pwani, kimejitole kusomesha watu 32 wawili katoka kila kata iliyopo wilayani Kibaha Vijijini. Wilaya ya KIBAHA Vijijini inajumla ya katab14...
Katika kuunga mono juhudi za serikali za kutoa elimu bure, chuo chan Eden Hills College kilichopo Mlandizi Kibaha, kimetoa nafasi 34 za kusoma kwa kata zote 14 za wilaya ya Kibaha Vijijini.
Kwa...
JAMANI naomba mnisaidie jambo hapo maana haya matokeo yanavyotangazwa na hizo alama wanaziweka hata sizielewi kwa wafahamu wa mambo mwanangu amefanya mitihani ya kidato cha pili amepata alama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.