Hata mimi kanikumbisha enzi hizo nikiwa la tano dah nilikuwa najiona msomi mkubwa hasa nikipata vema zote nakumbuka nilikuwa nakumbuka idadi ya vema kwenye daftari langu, nilichukia sana alama ya kosa kwenye daftari langu hata ilipotokea nimekosea nilitamani kuiparua ile alama kwa wembe duh utoto bwana raha sana. Nikapoteza hilo daftari nilikosa amani mwezi mzima hadi leo nalikumbuka zaidi ya miaka 20yrs iliyopitamkuu umenikumbusha kitamboo! swali, kazi, jibu, yaani we acha tu