Habarini Wana JF
Nina mwanangu nataka nimpeleke shule akawe anakaa huko huko ana miaka 3 anaenda mwaka wa nne
Naomba kuzijua shule zinazokuwa zinamfundisha mtoto kingereza kizuri kwa watoto wa...
RAIS WA CHUO KIKUU CHA UDOM BW VICTOR BYEMELWA AFUKUZWA CHUO, WANAFUNZI WAPANGA KUONANA NA RAIS DR MAGUFULI
Kutokana na mkakati ulio wekwa na viongozi wa ccm wakishirikiana na Utawala wa chuo...
Ndugu zangu bodi ya mikopo hili tatizo letu la mikopo ilioenda sehem nyingine na tulipochaguliwa mmefikia wapi kulitatua njaaa inatuuuma sana ,kuna wengine ni watoto YATIMA mnategemea...
Wakuu, Naomba Ushuri auKuelekezwa Namna ya Kusajiri Kituo cha Kufanyia Mitihani ya QT na Wanaorudia Mitihani. Kwa Sasa Kituo Kipo Tuition Center tu, Je Kuna Vigezo Gani Vinahitajika? Usajiri...
Hivi wanachuo waliofanya transfer bado yanaendelea kula unga na maji wanalala Vyuoni wakiwa na maisha magumu sana.
JE nani wa kuwashika mkono...Ikiwa wamevumilia wamefata taratibu kwa kusubiri...
Ndugu wanajamvi mimi ni mwanafunzi mwaka wa 1 Bodi ya mikopo walipeleka mkopo wangu chuo kingine mpaka sasa nateseka tena sana .Walitupa siku 60 wakidai ndani ya siku hizo swala letu watakuwa...
Ndugu wanajamvi ,namasikitiko makubwa kwa taasisi hii mpaka Leo mikopo yetu wanafunzi ilioenda sehemu nyingine hatujapata kila siku tunagombana na ma loan officer nao wanadai tatizo no Bodi sasa...
Ni kweli kwamba tuna matatizo ya upungufu mkubwa wa waalimu wa masomo ya sayansi nchini kwetu, Nilitegemea serikali ingechukua hatua mbadala kutatua tatizo hilo, lakini sikuwahi kufikiria kwamba...
nimehangaika sana kupata website ambayo naweza fanya test hiyo (GIA), naomba msaada wenu wana jamvi!! Website nyingi ni kwa kulipia wakuu na mimi kwa sasa sina uwezo wa kuilipia so kama kuna mtu...
Habari zenu wakuu,
Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa na nimeona bora niilete hapa hii mada ili angalau tupate ufumbuzi.
Mada yenyewe ni hii;
Kwa mfano ukilichoma gogo la mti lenye uzito wa kilo...
habari, mwenye information kuhusu combination ya CBM kwa advanced level naomba anijuze tafadhali na ni shule zipi wanafundisha hiyo comb kwa advanced level?
Management ya chuo cha IMTU imeendelea kushidwa kutimiza makubaliano Kati yao na TCU na Leo kumetokea mgongano mkali hali iliyopelekea masomo kuhairishwa until further notice
Source: EATV Kurasa
Wakuu chuo hiki kilianzishwa baada ya kuwaondoa sekondari wakaanzisha chuo kikuu.
Maktaba ya chuo hakuna vitabu vya kutosha, cafteria inadhaminiwa na pepsi huwez pata kinywaji cja aina nyingine...
Kwa mda mrefu Tanzania kauli ya kwamba Kazi ya ualimu ni wito imekuwa ikitumika na kwa mazingira ya sasa inachangia kuua elimu yetu.Wito ni kufanya kitu kwa kujitolea bila malipo yeyote kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa elimu bw kawambwa atinga kampala int university,ni mishale ya saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni,atumia masaa sita kuongea na utawala wa chuo na dk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.