Katika kitabu cha kufundishia geography form one(oxford)
kinaeleza kwamba kuna sayari nane(8)
PLUTO was demoted from being a planet by INTERNATIONAL ASTROMIC UNION(IAU) in 2006 kwa sababu it...
wasalaam wadau
jamani samahani naombeni msaada wenu wa mawazo hivi naweza kupata chuo kinachofundisha masomo ya jion au distant learning katika course za afya especially certificate na diploma...
Habari wa JF,
Naombeni ushauri,nimesoma degree ya kwanza ya education ya open university ila GPA yangu iko chini yan 3.3.
Je naweza kupata chuo cha kusoma masters na kwa mashart yapi? maana...
Ndugu wana jamvi kunakijana mmoja namsomesha yupo SUA mwaka wa 1 mkopo wake wa chuo ulienda udsm sasa amefungua chuo tarehe 09.11.2015 akafika chuoni nimelipia taratibu za usajiri kila kitu...
Jamani kwa yeyote anaefahamu taratibu za kujiunga na TIOB(Tanzania institute of bankers) naomba anifahamishe, inachkua mda gan tangu kutuma form yao na kupata membership, wanawasiliana na wewe au...
Chancellor of the University of Dar es Salaam (UDSM), former president Dr Jakaya Kikwete
The newly appointed chancellor of the University of Dar es Salaam (UDSM), Dr Jakaya Kikwete, has...
Wadau naombeni kujuzwa chuo kizuri kinachotoa kozi za graphics design, cinematography, photographing, web designing.
Kwa Arusha na Dar natanguliza shukrani.
Ndugu wana janvi, nisingependa kuweka uzi huu mahali hapa ila kwa kuwa nimeumizwa na kimya changu,tena kwa siku nyingi naomba niweke mambo haya wazi.
Kwa wahusika serikali imeleta sehemu ya...
The Open University of Tanzania (OUT) is an open and distance learning institution with a mission to provide affordable quality education for all. The university has established a special unit...
Nimeuliza ili swali ili nione ni njia GANI wanafunzi VYUONI wanaweza kutumia njia sahihi KU DEMAND THEIR RIGHTS
lakini muda mwingi WANAFUNZI utUMIA MIGOMO na kuandamana kama NJIA SAHIHI kwao...
Habari wakuu, nilisoma degree yangu ya kwanza kozi ya I.T kutokana na ugumu wa ajira nimefikiria kusoma postgraduate open university kwenye kada ya ualimu chuo kikuu huria, je huku nako ajira ni...
Habari wakuu
Hivi juzijuzi,serikali ilitoa takribana billion 131.4 katika harakati ya kufanikisha sera ya mheshimiwa rais ya Elimu bure
Pia katika hotuba yake bungeni,waziri mkuu alisema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.