Mimi n medical student nipo mwaka 6 katika nchi x huku nje ya nchi, ni mwaka wangu wa mwisho ila nilitaka kufaya internship tanzania nyumbani, chuo changu huku kipo tayari kuniruhusu na ipo hvyo...
hbr wana jamvi nimemaliza 2013, Nina division IV point 32, chemist-D, Biology -D, Maths-D, Physics-E. napanda sana kusoma masomo ya phamacy, wapi ntapata kujiunga na certificate ya phamarcy
mimi ni kijana niliye maliza diploma ya architecture na nina tamani sana kujaribu bahati yangu kupitia scholarship ila sifahamu ni jinsi gani yaku apply. naombi msaada juu ya hilo
Habari zenu wapendwa. Ndugu zangu naomba kusaidiwa kuhusu hyo shule nasikia ipo Morogoro lakini sifahamu ni sehemu gani hapo ilipo, ada bei gani, utaratibu wa kumpeleka mtoto pale kusoma upoje na...
Salaam GT!
Mdogo wangu amehitimu form four mwaka 2014 ufaulu wake katika mtihani wa NECTA ni Civics- D, History - D, Geog - E, Kiswahili - D, English - C, Physics - C, Chemistry - C, Biology - C...
je!! walimu wanaweza kunufaika na dr. pombe kwa kuwa yeye n mwalimu. alisema kero yenu kuu naijua maana na mm n mwalimu! pia alisema hata kama wanafunzi watasomea chini ya mti ila kama mwalimu...
Napenda kujulishwa kuhusu hali ya shule ya Ihungo kama vile
Sare za shule
Malazi
Huduma za msingi kama vyoo na maji pamoja na hospital na mwisho
TAALUMA YAKE
Za mchana huu wrote, wakubwa shimamoo..
Mimi no mwanafunzi Wa kozi tajwa hapo juu...
Ninaomba upembuzi Wa uwezekano Wa kusoma master ya biostatistics kama ufaulu utakuwa umejitosheleza.
Ila o...
Niko Dodoma, nilimuomba ndugu yangu kunilipia NACTE, ila akawa amechelewa, nikaamua kulipia.
Kumbe muda huohuo akawa amenilipia. Nikawa nina namba mbili za 50,000, ile yake nimeitumia kufanya...
Msaada wakuu mwenye uelewa wa kozi inayotolewa na livestock training agency ya Animal health and production VIP kuhusu uwanja wake wa ajira na nimeona ni chuo kimoja ambacho kinatoa degree...
Habar wana jukwaa nina Diploma ya umeme je inawezekana kusoma Telecommunications au Information Technology Degree yani ntumie cheti cha diploma electrical ku apply degree kati ya hizo course...
Wadau salam mbele shule hizi za St. Mary's zimekuwa kama mtambo wa kuzalisha vijana wanaopenda mapenzi ya jinsia moja (Mashoga).
Pengine ni kutokana na namna lifestyle ya hapo shuleni kuwa...
Jaman ee hv ukitaka kusomea engnerng ya petroleum ni miaka mingapi? na kutoka adv nisome combi gan? na je mtu mwenye diplom anaweza kuajiriwa? naomben msahada wenu wanandugu
Habari,wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Kwenda Shule Ya Minaki Wanaripoti Lini? Pia Naomba Namba Za Mwalimu Wa Shule Hiyo. Asanteni Sana Ataenisaidia.
Habar,kwa vijana mliochaguliwa Mwinyi high school(MKURANGA-PWANI) mnakaribishwa kwa Maswali.Ikiwemo vifaa mtakavyopenda kuja kukuta vinapatikana shule na kununulia hapo mtoe mapendekezo.
Ndugu zangu natumaini ni wazima mimi nasoma mwaka wa kwanza civil eng pale MUST. Natafuta sehemu ya kufanyia field practical kwani hadi sasa sijapata kila ninapoenda naambiwa wamejaaa hivyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.