Usiombe mkopo ukaenda chuo kingine

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wanajamvi mimi ni mwanafunzi mwaka wa 1 Bodi ya mikopo walipeleka mkopo wangu chuo kingine mpaka sasa nateseka tena sana .Walitupa siku 60 wakidai ndani ya siku hizo swala letu watakuwa wamelitatua ndugu zangu usiombe kukutwa na mkasa kama huuu hakika utakuwa tapeli,Malaya ,mwizi,na utaathirika kisaikolojia .Jamani hawa watu wa idara ya' Allocation "Bodi ya mikopo wanakiburi sana na hawafanyi kazi hebu tafakarini wanajamvi walitupa siku 60 nimeenda pale hata allocation tu kuuleta mkoo wangu chuoni hajashughulikia wakati chuo chetu wenye tatizo kama langu tupo 30 wameshughulikia majina kumi tokea Tarehe 20.01.2016 ingawa hao nao bado hawajasaini mkopo wao hapo chuo malipo yalikuwa bado mpaka Leo wakati inshu hii ilikuwa ni moja wanashughulikia majina 10 tu HAWA watu wa allocation nimeenda jumatano pale idara ya allocation ili wauallocate mkopo wangu nisubirie malipo jamaaa ananijibu majibu laini sana Rabda subiri wiki 4 huku akitabasamu hakika nilitamani kumnasa vibao basi nilisikitika sana ila nimempa siku nikifika j3 bado hajafanya allocation ntajua wapi pa kwenda naushahidi wakutoosha loan officer alituma majina yetu zamani sana naushahidi wa barua pamoja na muda iliyotumwa ni uzembe wao wanatakiwa wawajibike .NB Bodi ya mikopo njaaaa huwa haina kusubiri .
 
Pole sana mkuu,nenda kwa bosi wake ,hawa vijana wa loan board wamejisahau sana
 
Bodi ya mikopo si mnatuona sie wajinga haya subirini chekeni msimuone Kobe kainama ujue anatunga sheria ipo siku mtanikumbuka Maneno yangu haya .
 
Asante sana mkuuu#donbery itabidi nifanye hivo huyu jamaaa anaona kama vile kamaliza
 
Back
Top Bottom