Kama unataka kusoma IT basi uijue kweli sio juu juu tu maana wengi wanamaliza hata kupiga windows hawajui"ni nzuri kama unataka kujiajiri lkn kama kutafuta kazi changamoto sana.
Am IT expert
but listen to your heart
IT inabidi uwe competent Sana na ulenge kwenye kujiajiri Sana na pindi ukiwa chuo inabidi usome na vitu vingine ambavyo hamfundishwi pia jitahidi kutengeneza project zako mwenyewe kama software website ili iwe mifano kama MTU anataka kukupa tenda ama Kuombea kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.