Mwenye taarifa za kombi ya CBM

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
217
138
habari, mwenye information kuhusu combination ya CBM kwa advanced level naomba anijuze tafadhali na ni shule zipi wanafundisha hiyo comb kwa advanced level?
 
habari, mwenye information kuhusu combination ya CBM kwa advanced level naomba anijuze tafadhali na ni shule zipi wanafundisha hiyo comb kwa advanced level?
Unasoma cbm alafu uwe nani?? Kwanini unaogopa physics??? (Hii kombi haipo!)
 
ratiba ya mwaka jana kwel kulkuw na interruption kwa masomo ya pure 2 na bio , ila ya mwaka huu iko advance coz hayo masomo yametenganixhwa, ila ugumu unakuja ni shule ipi wanayo hiyo combi #mkuu!? msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom