Reagany Mchome Member Sep 14, 2014 65 45 Feb 6, 2016 #1 Nawezaje kupata mchanganuo wa ada za vyuo, unaoonyesha matumizi elekezi ya ada hiyo?
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 69,782 137,034 Feb 6, 2016 #2 Angalia kwenye website ya vyuo unavyotaka kujua... Unaogopa kuliwa ganji nini teh
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Sep 13, 2014 7,069 6,742 Feb 7, 2016 #3 kwenye chuo husika wanaandika kwenye joining instruction