Taarifa ni kwamba wameshidwa kutengeneza prospectus inayo kidhi vigezo, wameshindwa kutenganisha MD na BSnNursing students semester ya kwanza, wameshindwa kuboresha madarasa yaliyokuwepo na mapya, kumekua na madai ya muda mrefu kuanzia wafanyakazi wanaofanya usafi na madereva juu ya mishahara yao hali inayopelekea wanafunzi mwaka wa NNE na wa TANO wenye junior rotations na senior rotations Muhimbili, Mwananyamala, Temeke kushindwa kwenda kusoma, Wanadaiwa na Muhimbili madeni ya Muda mrefu ni wazi sasa Waziri Wa Elimu professor Joyce Ndalichako Aje kutembelea kujua hali halisi Kama IMTU iendelee kuoperate AU ichukuliwe na UDSM Kama walivyoomba awaliHEM TUPE TAARIFA KAMILI
Umeshajibiwa hapo juu kua MUHAS Wanaosoma pamoja ni MD na DDS Hawa wengine nursing, MLT na Pharmacy ni superficial anatomy hata lab ya dissection ya cadaver hawaendi ila IMTU wote Nurses na MD wanajifunza pamoja! Mpaka dissection lab wanaenda pamoja jambo ambalo hata TCU imewaagiza wawatenge kwasababu hata Kama ni basic science kuna baadhi ya mambo yana tofautiana ila Management ya IMTU imeshindwambona hata muhas 1st semester course zote wanasoma pamoja..!?