Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,599
- 6,669
Wakuu chuo hiki kilianzishwa baada ya kuwaondoa sekondari wakaanzisha chuo kikuu.
Maktaba ya chuo hakuna vitabu vya kutosha, cafteria inadhaminiwa na pepsi huwez pata kinywaji cja aina nyingine.
Hhakuna vipaza sauti madarasani hivyo usipowahi na kukaa mbele imekula kwako, lectures wanafundishia chaki hii ni aibuu.
Hakuna hosteli za boys hivyo fisrt year hata uje mgeni leo hawana pa kukulaza wanakwambia hiyo ni juu yako uwiii.
Chuo hakina sehemu hata moja ya kupumzikia na hakuna hata kiwanja kimoja hata cha rede hivyo vipaj vya wanachuo hapa vinakufa vyote.
Chuo kipo mjini makelele yamezid mazingira si rafiki kwa kusomea hata kidogo
Je, hili nalo si jipu?