Bodi ya mikipo tukumbukeni wanafunzi wa mwaka wa 1 mikopo yao ilioenda sehem nyingine tunateseka

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wanajamvi ,namasikitiko makubwa kwa taasisi hii mpaka Leo mikopo yetu wanafunzi ilioenda sehemu nyingine hatujapata kila siku tunagombana na ma loan officer nao wanadai tatizo no Bodi sasa ndugu zangu wa Bodi to kea nifungue chuo mpaka Leo nnategemea niiishije .Kuweni na huruma hata kidogo wazazi wanajua tumepata mikopo kutokana na taarifa kwenye vyombo vya habari kumbe wengine mikopo yetu ipo mpaka sasa haijatufikia chuoni hakika inaniuma sana.Ninavyooongea hapa naishi kwa ndugu yangu bcz chuo chetu hakina hostel za kutosha to kea nifike nalala kwenye sofa sebuleni imefikia hatua Mimi ingawa tokea mwanzo nilikuwa sili ana mchumba wake ambae huja Mara kwa Mara wanapika chakula wanakula wenyewe bila kunikalibisha nimekuwa kelo sana hiii ni sababu Bodi ya mikopo mmeshindwa kuniletea hela zangu kwa wakati laiti mngeniletea ningekaaa hostel ona ninavyoteseka nahuzuria mitihani tu sinanauli ya kuendea chuo .NB Bodi ya mikopo fanyeni hivi kila chuo kina loan officer chakufanya na hapo Bodi kunawawakilishi wa vyuo wanataarifa zetu za mikopo yetu hebu tusadieni jamani na muone unyeti wa tatizo letu. Hapa nilipo sijui ntakula nini leo
 
hebu MSHIRIKISHE NA MUNGU ATIE WEPESI KWENYE SUALA LAKO NINA IMANI ATAKUPATIA.
 
Back
Top Bottom