Bado kuna mtu anayejua?

Bado kuna mtu anayejua?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Habari zenu wakuu,

Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa na nimeona bora niilete hapa hii mada ili angalau tupate ufumbuzi.

Mada yenyewe ni hii;

Kwa mfano ukilichoma gogo la mti lenye uzito wa kilo tano, kwanini majivu yake yasiwe na kilo zile zile tano? Matokeo yake unakuta majivu yanauzito mchache kuliko kitu kilichochomwa (teketezwa)?

Je, zile kilo nyingine huwa zinakwenda wapi?.
 
Kwenye gogo kuna vitu vingi.
1. Kuna kitu kinaitwa lignin.
2. Kunakitu kinaitwa fiber.
1&2 ndo hufanya gogo kuwa kama unavoliona yaani gumu.
Kwenye lignin kuna vitu vingi kama organic matter na inorganic matter. Pia kwenye fiber vivo hivo. Sasa unapochoma gogo kinacho ungua ni organic matter. Na majivu ni inorganic matter. Organic matter nyingi ni combustable. Yaani zikikutana na oxygen under certain condition zinaungua na kutoa carbondioxide + mosture. Na kupungua uzito hutokana na carbondioxide inayotoka kama gas. Ambayo mwisho wa siku huishia kwenye atmosphere. Kwa kifupi hitwa (loss on ignition) Hiyo kwa ufupi
 
Ukichoma gogo kuna chemical change inatokea gogo likiwaka kuna elements zinakuwa reformed kama Carbon dioxide,Water , gases na mabaki ambayo ni hayo majivu(left overs). Sasa unaweza ona ni vitu vingapi vinakuwa vinatoka kwenye gogo hilo la kilo 5 na hapo wakati linawaka linatoa light pamoja na heat energy vitu vyote hivi vinatoka kwenye gogo hilo hilo la kg tano kwa hiyo majivu ni sehemu tu ya mabaki katika vitu vyote vanavyotoka kwenye gogo...Na kama moto ukiwa mkali mno hata majivu hayatabaki kwa hiyo hata hayo majivu unayoyaona ni ishara tu ya moto wako haukuwa mkali sana.
 
Shukrani sana kwa maelezo mujarab mkuu, kama ni hivyo basi uchomaji wa misitu, magogo utakua na athari sana kwenye mazingira iwapo uzito wote huo unapotea kwenye atmosphere.
 
Mkuu sio wote ni kiasi tu. Ndo maana tunabakiwa na majivu. Kumbuka majivu yalikuwa ni sehemu ya gogo. Kwahiyo kiasi cha uzito hutoka kama moistire na carbondioxide. Kakati kinachobakia huwa ni asha( majivu) ambayo kwa kiasi kikubwa yana inorganic matter ambazo mala nyingi huwa haziungui
 
Ukichoma gogo kuna chemical change inatokea gogo likiwaka kuna elements zinakuwa reformed kama Carbon dioxide,Water , gases na mabaki ambayo ni hayo majivu(left overs). Sasa unaweza ona ni vitu vingapi vinakuwa vinatoka kwenye gogo hilo la kilo 5 na hapo wakati linawaka linatoa light pamoja na heat energy vitu vyote hivi vinatoka kwenye gogo hilo hilo la kg tano kwa hiyo majivu ni sehemu tu ya mabaki katika vitu vyote vanavyotoka kwenye gogo...Na kama moto ukiwa mkali mno hata majivu hayatabaki kwa hiyo hata hayo majivu unayoyaona ni ishara tu ya moto wako haukuwa mkali sana.
moto hata uwe mkali kiasi gani majivu lazima yatokee.
 
Mkuu sio wote ni kiasi tu. Ndo maana tunabakiwa na majivu. Kumbuka majivu yalikuwa ni sehemu ya gogo. Kwahiyo kiasi cha uzito hutoka kama moistire na carbondioxide. Kakati kinachobakia huwa ni asha( majivu) ambayo kwa kiasi kikubwa yana inorganic matter ambazo mala nyingi huwa haziungui
mkaa je ili utokee inakuwa vp
je mfano nikalichoma gogo ktk chuma ambacho hakitoi hewa
mfn chuma kilo 5 gogo 10 nikavifungia na kuchoma je ikishabaki majivu je uzito utabaki huo huo 15 nikilipima kwa pamoja au inakuwa namna vp nauliza tu kutaka kujua 7bu ya ufafanuzi wenu muruaa

Mkuu kwanza hapo lazima ujue wakati unachoma gogo kuna Energy ina be transformed kwenda form nyingine hapo hapo unapochoma patatoka sound energy,Heat energy,Na Light energy sasa energy zote hizi zinazotoka zitapunguza energy pia ya hio matter yako Yani Gogo ambapo patabaki majivu nayo ni Energy kumbuka, Na pia jikumbushe kuwa energy can't neither created or destroyed but transformed from one form to another So hio energy inayotoka ktk gogo haipotei inaendelea kubadilika kuwa form zingine za energy
 
mkaa je ili utokee inakuwa vp
je mfano nikalichoma gogo ktk chuma ambacho hakitoi hewa
mfn chuma kilo 5 gogo 10 nikavifungia na kuchoma je ikishabaki majivu je uzito utabaki huo huo 15 nikilipima kwa pamoja au inakuwa namna vp nauliza tu kutaka kujua 7bu ya ufafanuzi wenu muruaa
Mkaa wanafanya incomplete combustion. Ndo maana ukija majumbani tunaweza pikia tena. Ukichoma mkaa under excess oxygen tegemea majivu. Na ukibana sana oxygen hauchomeki. Kwenye kufanya combustion kuna intermidiate stage ya kutengeneza co yaani carbon monoxide ambayo ikikutana na excess oxygen in burn conpletely
 
Kama chuma hakitoi hewa haina maana transformation of energy haita tokea hapo chuma kita pata heat energy kutanuka na kuendelea kurediate hio heat outside pia ndani ya icho chuma sound itakuwa inatokea ndani kwa ndani ivo ni lazima energy ibadilishwe ktk form nyingine kama kuna kazi yoyote itafanyika
 
nimewasoma vizuri sana shukrani kwa ufafanuzi murua
Mkaa wanafanya incomplete combustion. Ndo maana ukija majumbani tunaweza pikia tena. Ukichoma mkaa under excess oxygen tegemea majivu. Na ukibana sana oxygen hauchomeki. Kwenye kufanya combustion kuna intermidiate stage ya kutengeneza co yaani carbon monoxide ambayo ikikutana na excess oxygen in burn conpletely
 
mkaa je ili utokee inakuwa vp
je mfano nikalichoma gogo ktk chuma ambacho hakitoi hewa
mfn chuma kilo 5 gogo 10 nikavifungia na kuchoma je ikishabaki majivu je uzito utabaki huo huo 15 nikilipima kwa pamoja au inakuwa namna vp nauliza tu kutaka kujua 7bu ya ufafanuzi wenu muruaa
Mkuu kwanza kumbuka kuna Elements 4 kama si tatu lazima ziwepo ili moto uwake:
1-Oxygen kwa hiyo lazima kuwe na hewa atleast 16%.
2-Heat
3-Fuel
4-Chemical reaction lazima itokee ili moto uwake.
Moja wapo ya Element hizi zisipokuwepo hakuna moto unaweza waka hapo.
 
Mkuu sio wote ni kiasi tu. Ndo maana tunabakiwa na majivu. Kumbuka majivu yalikuwa ni sehemu ya gogo. Kwahiyo kiasi cha uzito hutoka kama moistire na carbondioxide. Kakati kinachobakia huwa ni asha( majivu) ambayo kwa kiasi kikubwa yana inorganic matter ambazo mala nyingi huwa haziungui

Nimekupata mkuu, ukilinganisha uzito wa majivu na ule unaopotea wakati wa kuungua ni dhahiri unaopotea ni mkubwa japo hii itategemea hali ya gogo kama lilikua bichi, kavu na aina ya mti.

Ndio maana nikasema uchomaji wa magogo/misitu unaathiri mazingira.
 
Back
Top Bottom