General Intelligence Aptitude

hewizet

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
2,409
1,507
nimehangaika sana kupata website ambayo naweza fanya test hiyo (GIA), naomba msaada wenu wana jamvi!! Website nyingi ni kwa kulipia wakuu na mimi kwa sasa sina uwezo wa kuilipia so kama kuna mtu anajua ma invigilator wowote wa online ambako ni free anifahimishe kwa kunipatia link!!
natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom