Bw.Daffa
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 420
- 116
Wakuu, Naomba Ushuri auKuelekezwa Namna ya Kusajiri Kituo cha Kufanyia Mitihani ya QT na Wanaorudia Mitihani. Kwa Sasa Kituo Kipo Tuition Center tu, Je Kuna Vigezo Gani Vinahitajika? Usajiri Unatolewa Wizarani au Kupitia NECTA? Na Mengine Yeyote.
Natanguliza Shukrani.
Natanguliza Shukrani.