BODI YA MIKOPO: Inatosha sasa!

Yetu Sote

Member
Jan 23, 2013
54
9
Imepita miezi sasa tangu niapply kwa mara ya kwanza na hatimaye ku-appeal baada ya tangazo lao la kutia matumaini na tambo za kutosha kwenye vyombo vya habari kwamba"HAKUNA MWANAFUNZI MWENYE SIFA ATAKAEKOSA MKOPO" na kauli nyingine nyingi zifananazo na hii.
Leo tena ilhali mimi bado nimesahaulika pengine na WAHANGA wenzangu wengi tu nimeona tangazo linalowataka Higher Diploma STUDENTS kuapply,nimeshangazwa mno na kuamua kuomba ufafanuzi toka kwao.
1.Mimi ni mwanafunzi wa degree ya mazingira mwaka wa pili,ninaomba kujua kama NINAQUALIFY kupata mkopo ama la?
2.Kama mimi{sisi} continuing students tulioapply na baadae kuappeal hatustahili kupata huo mkopo basi NINAIOMBA BODI YA MIKOPO ITOE TAARIFA RASMI maana kwa kauli ya Rais wa JMT na mbwembwe zenu watumishi wa BODI tukiwaeleza wazazi na walezi kwamba tumekosa mkopo HATUELEWEKI WALA KUAMINIKA.
3.Kama tunastahili naomba majina yetu YAWEKWE KWENYE TOVUTI YA BODI na so kutumwa kwa Maofisa mikopo wa vyuo tu
4.Vyuo vyote viagizwe kuiga mfano kwa SOKOINE na ST AUGUSTINE kuhusu matumizi sahihi ya tovuti za vyuo na upatikanaji wa habari na taarifa mbalimbali.
NATUMAI OMBI LANGU NA KILIO CHANGU KITASIKIKA.
 
Pole sna ndugu.mimi mwenyewe hapa cjui nielekee wapi na nifanye nini.maana tangu tume appeal hakuna fununu yoyote ya majibu yetu.Tuhurumien bodi ya mikopo mtushughulikie haraka mtupe majibu yetu mapema ili tujue kama tunaacha chuo ama la.
 
Back
Top Bottom