evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,998
- 5,150
Habar zenu Wakuu
Naomba kuingia kwenye lengo la uzi huu niliofungua, kwa yoyote atakaeweza KUPATA au kuwa nacho ktb cha "So Long a letter ".
Au" Barua ndefu kama hii" cha Mariam BA naomba tuwasiliane,iwe cha Kiswahili au Kiingereza sawa, ikiwa soft copy Itakua bora sana.
Asanteni.