Shule nzuri ya Re-sitters yenye Hostel

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,584
6,695
Habari wakuu,

Kijana wetu ameharibu matokeo ya kidato cha nne, hivyo tumeshauriana arudie mitihani. Endapo unafahamu shule nzuri kwa resitters yenye hostel tafadhali nifahamishe.

Natanguliza shukrani!
 
Nasikia Makongo wana Hostel sijui ni kweli?
 
Back
Top Bottom